iqna

IQNA

iran raisi
Baada ya kumaliza ziara yake rasmi nchini Venezuela, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo amewasili Managua ili kustawisha na kuimarisha uhusiano na Nicaragua. Safari hiyo inafanyiika kwa mwaliko rasmi wa Rais wa nchi hiyo, Daniel Ortega.
Habari ID: 3477144    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/15

Umoja wa Mataifa
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kislamu ya Iran amesema Iran ni mhanga wa ugaidi na amelitaka Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kufuatilia jinai ya kigaidi ya kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
Habari ID: 3475821    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/22